Aruba, Beatrice Kemunto
(2017)
Kimsingi, lugha inawezesha na kuendeleza mazungumzo katika jamii. Lugha hii hujitokeza katika mazungumzo na maandishi. Mawasiliano andishi yanatakiwa kufanywa kwa uangalifu mkubwa ili kukamilisha gharadhi lake katika jamii. ...