SYEKEI Martha Nyangweso , Dkt. AYODI Nancy , Prof. MOHOCHI Ernest Sangai
(2017)
Ikisiri: Wasomi na wahakiki wametathmini tanzu mbalimbali kama vile ushairi, riwaya na
nyimbo kuhusu kiongozi wa kike. Lakini utanzu wa tamthilia haujashughulikiwa kwa kina
kumpa mhusika huyu sifa anazozistahili. Wahakiki ...