EVANS OMBENG’I NYACHOI
(2025)
Utafiti huu ni tathmini ya usawiri linganishi wa ushujaa katika tendi za Fumo Liyongo,
Mikidadi na Mayasa na Swifa ya Nguvumali. Madhumuni ya utafiti huu ni kumtambulisha
shujaa kwa vigezo vya ushujaa wa Kiafrika katika ...