NJOROGE SUSAN WANJIRU
(2022)
Mwingiliano matini ni dhana ya kuathiriana, kuhusiana na kutegemeana kwa matini. Kila matini huwa na mwingiliano kwani hurejelea, huchakata na huchota kutoka kwa matini tangulizi. Kila kazi ya kisanaa, kulingana na Kristeva, ...