MMARAU Institutional Repository

UTEUZI NA CHANGAMOTO ZINAZOMWATHIRI KIONGOZI WA KIKE KATIKA JAMII: MFANO WA MHUSIKA MKUU KATIKA TAMTHILIA TEULE ZA KISWAHILI

Show simple item record

dc.contributor.author SYEKEI Martha Nyangweso , Dkt. AYODI Nancy , Prof. MOHOCHI Ernest Sangai
dc.date.accessioned 2020-08-03T08:02:52Z
dc.date.available 2020-08-03T08:02:52Z
dc.date.issued 2017
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/123456789/10161
dc.description.abstract Ikisiri: Wasomi na wahakiki wametathmini tanzu mbalimbali kama vile ushairi, riwaya na nyimbo kuhusu kiongozi wa kike. Lakini utanzu wa tamthilia haujashughulikiwa kwa kina kumpa mhusika huyu sifa anazozistahili. Wahakiki wengi hawana habari kuwa mhusika huyu ana wadhifa mkubwa katika uongozi wa jamii husika, sio barani Afrika tu, bali duniani kote. Makala haya yanatathmini uteuzi na athari ya kiongozi wa kike katika jamii husika. Mbali na makala haya kuangazia uteuzi wa mhusika huyu wa kike yanazamia kuelezea athari aliyo nayo katika jamii kwa ujumla mbali na changamoto anazopitia. Ni vipi matokeo ya utafiti huu itaongezea idhibati ya mambo muhimu katika fasihi ya lugha ya Kiswahili? Maneno Muhimu: Jinsia, kiongozi, uteuzi na athari en_US
dc.language.iso other en_US
dc.title UTEUZI NA CHANGAMOTO ZINAZOMWATHIRI KIONGOZI WA KIKE KATIKA JAMII: MFANO WA MHUSIKA MKUU KATIKA TAMTHILIA TEULE ZA KISWAHILI en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Browse

My Account