Ayiera, Elijah Arasa
(2017)
Utafiti huu umechunguza ufumbaji katika riwaya mbili za Katama Mkangi: Mafuta na
Walenisi. Utafiti huu umelenga: Kwanza, kubainisha aina mbalimbali za ubunifu wa
ufumbaji uliojitokeza katika riwaya ya Mafuta na Walenisi. ...